Recent comments

Breaking News

MUVI MPYA YA LULU, YUSUPH MLELA, HASHIM KAMBI NA CATH RUPIA SOKONI LEO

Baada ya kumtoa Elizabeth Michael na muvi yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la ‘Foolish Age’, hatimaye kampuni ya Proin Promotion ambayo ndiyo inayosimamia kazi zote za Lulu kwa sasa inamuingiza tena mtaani katika muvi mpya kabisa.
Muvi hiyo mpya ambayo imeingia sokoni leo inajulikana kama ‘Curse Family’ au ‘Laana ya Familia’ imechezwa na mastaa kadhaa wakiwemo Lulu, Yusuph Mlela, Hashimu Kambi na Cath Rupia.
Muvi hiyo tayari imeshaingia mtaani kuanzia leo na kumbuka kuwa muvi zote zinazotoka chini ya Proin Promotion hazina CD mbili yaani part one na part two bali zote huwa ndani ya CD moja tu ili kuacha mchezo wa kuwaibia watanzania kwa udanganyifu mdogo kama huo.

Get your original Copy …! Enjoy..!!


No comments