Making the video ya rapper @Wakazi Kariakoo na town Dsm.
HEFEMI Studios ambayo ni kampuni ya Mtanzania anaeishi Marekani ndio inahusika kuifanya hii video mpya ya rapper Wakazi ambae mwaka 2013 alipata nafasi ya kuonekana kwenye stage nyingine kubwa ya Africa (BBA) na kuonyesha uwezo wake.
Wakazi anakwambia hii video mpya ya sumu ya panga ‘my city’ itakufikia mwishoni mwa mwezi January 2014 ambapo imefanywa kwenye maeneo kadhaa ya Dar es salaam ikiwemo Mnazi mmoja na Kariakoo.
Wakazi na director msaidizi Mecky.
Wakazi na fans wake.
Wakazi na Manager wake aitwae Thuwein.
Wakazi na Hefemi kwenye scene Kariakoo
Hefemi wamefanya hii video ya Wakazi pia hapa chini
Making the video ya rapper @Wakazi Kariakoo na town Dsm.
Reviewed by bongohitz1
on
2:16:00 PM
Rating: 5
No comments