Recent comments

Breaking News

LADY JAY DEE -~ HISTORIA (NEW SONG)

Sikiliza hapa ngoma mpya ya mwanadada Judith Wambura mwenye a.k.a nyingi sana huku hivi sasa akijulikana kama Anaconda kutoka kwenye album yake ya ‘Nothing But The Truth’.
Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la ‘Historia’ ikiwa ni inspirational song kwa watu wote hasa vijana juu ya kutokubali kushindwa tungali bado tuna nguvu za kutafuta.
Isikilize hapa:-

No comments