Hii Top 10 ya video za Jamaica leo inatoka Trace TV, kituo cha Ufaransa ambacho kinajihusisha na burudani kwa asilimia 100 ambapo kinacheza video za Afrika, Marekani na mataifa mengine kadhaa duniani.
Kama wewe ni mpenzi wa miziki ya Kijamaika basi hizi video zinakuhusu fanya kama unazitazama hivi mtu wangu
Reviewed by bongohitz1
on
3:58:00 AM
Rating: 5
No comments