Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu tupe maoni yako hapo chini kwa kucoment.
Hivi ndivyo Diamond alivyotambaa na beat ya Chege, tumia dakika zako tatu kumsikiza
Reviewed by bongohitz1
on
6:12:00 AM
Rating: 5
No comments