Recent comments

Breaking News

Hii ndiyo listi iliyotolewa ya wanawake warembo zaidi Africa na mtanzania yupo mmoja.


Capture
Glitz Magazine hivi karibuni wametoa list yao ya wanawake wenye mvuto zaidi ndani ya Africa.
Glitz ni magazine ambayo inahusisha content ya Africa nzima  na kwenye hiyo list kuna mtanzania mmoja aliyeingia kwenye list ya wa warembo 20 wa Africa nzima.
8bbf63d258dc11e3a8fb123eec3cbe7a_8
Millen Magesse ndiye mtanzania pekee aliyeingia kwenye list hiyo.
1016709_10151457640881986_1642432610_n
Listi nzima ya wanawake hao warembo (hottest women in Africa) ndiyo hii katika mpangilio usiofuata wa kwanza kwenye hii listi ndiyo mrembo zaidi.
Leila Lopes (Angola)
Vimbai Mutinhiri (Zimbabwe)
Oluchi Orlandi (Nigeria)
Yvonne Nelson (Ghana)
Dillish Mathews (Namibia)
Agbani Darego (Nigeria)
Tiwa Savage (Nigeria)
Stephanie Linus (Nigeria)
Genevieve Nnaji (Nigeria)
Joselyn Dumas (Ghana)
Yvonne Okoro (Ghana)
Jackie Appiah (Ghana)
***Millen Magese (Tanzania)
Omotola Jalade-Ekeinde (Nigeria)
Zainab Sheriff (Sierra Leone)
Naa Okailey Shooter (Ghana)
Nadia Buari (Ghana)
Lerato “Lira” Molapo (South Africa)
Babalwa “Barbz” Mneno (South Africa)
Elham Wagdi (Egypt)

No comments