Recent comments

Breaking News

Hatimaye Diamond Platinumz atimiza yale aliyoahidi kwa kuwasomesha watoto wawili ambao walishinda kucheza nyimbo yake ya Ngololo, Tazama Picha


 Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa fursa
 ya kuiona siku nyingine nikiwa na Afya njema
 kabisa,Mapema leo mchana,ilikuwa ni

 siku niliyopanga kutimiza ahadi
yangu ya Kuwapeleka shule watoto
 walioshinda shindano la kucheza ngololo..
na kwa vile nilitaka wapate elimu iliyo bora
 zaidi,nilikaa na management yangu..na
 kutafiti ni shule ipi itakayokidhi mahitaji ya watoto wale,shule yenye 
mazingira mazuri 
ya kusomea 
na yenye standard nzuri.
sote tulikubaliana kuwapeleka shule ya
 EAST AFRICA INTERNATION SCHOOL,iliyopo Mikocheni.
napenda kumshukuru mkuu wa shule hii,Bi Mercy
 Githirua kwa kutupokea vizuri mimi na 
watoto wale..lakini pia kuwashukuru wanafunzi wote kwa kutupokea vizuri 
Nyumbani......

 Simpo,mmoja wa waratibu akiwa 
ameongozana,na washindi wa ngololo Dancing

 Nikisarimiana na mkuu wa shule bi,Mercy Githirua
 Nilipata nafasi ya kuzungmza na
 wanafunzi na kuwausia mambo
 mbalimbali ya kimaisha....






 Ofisin kwa mkuu wa shule tukimalizia
 taratibu za kuwaandikisha shule watoto

Niliongozana na wazazi wao pia
 Wakipitia form za usajiri


 Tukisikiliza maelekezo kwa mkuu wa shule

No comments