Recent comments

Breaking News

Baada ya Diamond Platinumz kuonesha gari yake juzi lenye thamani ya dola 77,000$ Hatimaye Lady Jay Dee ajibu pigo kwa kuonesha gari yake aina ya Range Rover Evoque.




Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evoque. Kibongo bongo hizi gari za Range Rover Evoque hakunaga mtumba za kutoka Japan wala nchi yoyote ile ya ulaya katika show rooms zetu....Ukitaka hii gari lazima ujipinde kuagiza njee au uende pale Posta kenye mataa show room ya Range Rover 
 




No comments