Recent comments

Breaking News

Alichosema Ally Rehmtullah Kuhusu hii keki ya Birthday yake yenye umbo la sehemu ya mwili wa mwanaume

kekiii
Tangu jumamosi kumekua na taarifa nyingi kupitia mitandao ya kijamii kuhusu keki aliyoiandaa Fashion Designer Ally Rehmtullah kwenye kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, keki hii ilitengenezwa kwa umbo la Mwanaume ikihusisha sehemu ya mwili wa mwanaume.

Baada ya headlines kufanya kazi yake hiki ndicho alichokijibu Ally kupitia You heard ya jana January 20 2014, ( Clouds FM inasikika kupitia 104.4 Dodoma)


No comments