Recent comments

Breaking News

JUSTIN BIEBER LEO AMETANGAZA RASMI KUSTAAFU MUZIKI

Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki. Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.pngStaa huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na kuvilaumu vyombo vya habari kwa kuandika uongo kuhusu maisha yake.

Ni ngumu kujua kama kweli amemaanisha lakini kutangaza kwake leo ambapo filamu yake ya Believe imetoka, kutampa publicity ya nguvu.

No comments