Recent comments

Breaking News

HIZI NI KAULI ZA MASTAA MBALIMBALI DUNIANI JUU YA KIFO CHA NELSON MANDELA.

Angalia ujumbe mbalimbali ulioandikwa kwenye mitandao ya kijamii na mastaa wakubwa duniani kuhusu kifo cha Mandela kilichotokea usiku wa kuamkia leo. Status hizo ni kutoka kwa mastaa kumi wakiwemo Beyonce, Barack Obama, Justin Bieber, Justin Timberlake, Akon, David Beckham, Samuel Eto, n.k.












No comments