Kanye
West ameionyesha video ya Bound 2 kwa mara ya kwanza alivyoenda kwenye
show ya Ellen ambapo video model wa video hiyo ni Kim Kardashian na kama
unakumbuka zilitoka story kwamba Kim amefanya hiyo video akiwa hana
nguo kabisa na kuongeza hamu ya watu wengi kuisubiira, hapa kuna picha
za video hiyo pamoja na video yenyewe
Video mpya ya Kanye West ambayo Kim Kardashian kacheza humo ndani umeiona? pichaz
Reviewed by bongohitz1
on
3:32:00 AM
Rating: 5
No comments