Picha 7 za hoteli mpya iliyojengwa katikati ya bahari Zanzibar
Yani ukiwa umelala chumbani unaona samaki kabisa kupitia madirisha
ambapo gharama yake kulala kwa watu wawili ni dola za Kimarekani 1500
ambayo ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania na kwa mtu mmoja ni $900 ambayo inagonga kwenye milioni moja na laki nne hivi.
Uko tayari kulala kwenye hoteli chini ya bahari
No comments