PETER OKOYE WA P-SQUARE HARUSINI HUKU EMMANUEL ADEBAYOR AKIDANCE NA PERFORMANCE KIBAO ~ (EXCLUSIVE VIDEO)
Hivi karibuni msanii Peter Okoye kutoka ndani ya kundi la Psquare la nchini Nigeria alifanikiwa kufunga ndoa ya kimila na mama wa watoto wake wawili Lola Omotayo huku kaka yape, Paul Okoye akiitumia nafasi hiyo kumtambulisha rasmi baby mama wake Anita Isima.
Hii hapa ni clip ya video yenye dakika kumi ikionyesha matukio mbalimbali yaliyojiri siku hiyo ya harusi hiyo.
Watu wengi walitarajia kuona mapacha hawa wakifunga ndoa siku moja lakini ikawa tofauti kitu kilichosababisha Hiptv wamuulize swali juu ya sababu iliyopelekea wao kutofunga ndoa siku moja na yeye kulijibu hivi:-
“So because im dey marry Yoruba woman, wey dem go do am here, if my own na from Kogi, all of us go do am for Lagos? Make una chill.
That’s why it’s a traditional marriage. You do it in a girl’s home. When I go do my own, I will do it in her home. If na for white wedding, I will answer you.”
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza kupitia hii clip fupi kama ulkiiangalia kiundani kama vile ushirikiano wa mastaa wa Nigeria, uvaaji kulingana na mazingira n.k.
No comments