MESSI AFURAHI CHRISTIANO RONALDO KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2014
Messi amefurahi kumuona Christiano Ronaldo anashiriki kwenye kombe la dunia 2014 huko Brazil baada ya mchezaji huyo kufunga mabao matatu mwenyewe na kuiakikishia Portugal kushiriki kwenye kombe la dunia.
Kwa upande wa Messi anadhani kwamba Spain, Brazil na Germany ndio wanaweza kushinda kombe hilo. Messi mwenyewe alifunguka na kusema kwamba alifurahia sana pale Christiano Ronaldo alipofunga mabao matatu na kupelekea timu yake kufuzu kwenda kushindania kombe la dunia 2014 pande za Brazil
“I was very happy for him when he scored those goals,” Messi said. “It’s just great when the best teams compete in Brazil, and Cristiano has had a great scoring rate for many years now. He plays at an outstanding level.
“I don’t know if this is Cristiano’s best moment, but he is always there, scoring goals in all the games and playing his part for his club and his country. He has been like that for many years. Whether he is at his best, or a bit below that, there is almost no difference.”
No comments