Matokeo ya taifa stars na zimbabwe haya hapa.
Timu ya taifa ya tanzania TAIFA STARS le ilikua ikichuana na timu ya taifa ya zimbabwe,matokeo yametoka suluhu ya bila bila.
Mashabiki wakifatilia mpira
Goli la Offside lililofungwa na zimbabwe.
Dakika 45 za mwanzo timu ya taifa ya TANZANIA ilikua ikiongoza mchezo kwa kuumiliki mpira kipindi kikubwa,mpira ulikuja kubadilika kipindi cha pili dakika za mwisho ambapo timu ya zimbabwe ilifanikiwa kupata goli lakini lilikua la offside.
Makosa ya kimchezo ya wadau waliozungumza na www.bongohitz1.blogspot.com wamedai kuna baadhi ya wachezaji kama Erasto Nyoni na amri kyemba wamecheza chini ya kiwango.
Mpira ukiendelea.
Mlinda Mlango wa Taifa stars Ivo Mapunda.
Mpaka mpira unaisha timu zote zimetoka suluhu ya bila bila
Matokeo ya taifa stars na zimbabwe haya hapa.
Reviewed by bongohitz1
on
9:45:00 AM
Rating: 5
No comments