IPHONE 6 KUTOKA KARIBUNI DISPLAY YAKE ITAKUWA NA UKUBWA WA INCHI TANO
Ikiwa bado haijajulika iphone 6 itatoka lini, lakini baadhi ya vitu ambavyo iphone 6 itakuwa navyo ni pamoja na display yenye ukubwa wa inchi tano. Watumiaji wa iphone wamekuwa wakulalamikia kampuni ya Apple kwa kuweka display ndogo kwenye simu zao za iphones wakati samsung na htc wamekuwa wakiweka display kubwa kwenye simu zao.
No comments