Recent comments

Breaking News

FACEBOOK WAMESHINDWA KUINUNUA SNAPCHAT KWA KIASI CHA 3 BILLION DOLLARS


Facebook wamechomolewa mpango wa kutaka kuinunua snapchat kwa dollar za kimarekani 3Bil. Baada ya kuinunua Instagram kwa kiasi cha $1 billion dollar sasa facebook wameona haitoshi na kuzidisha mara tata kiasi walichonunulia Instagram na kuomba kuinunua snapchat.

CEO wa Snapchat “Evan Spiege” amedai kwamba anamipango wa kuiuza app yake mpaka mwakani ndio atakapo fanya mamuzi ya kuipiga bei

No comments