"Kitu kizuri kuhusu kuwepo pale (kwenye
Premier league) ni kufundisha, kwa sababu nafikiri soka itapoteza vitu
vingi sana mara Sir Alex Ferguson atakapoacha kufundisha na hakuna
makocha wengi vijana wala wazee. Kwangu mimi, Fergie ndio boss. Namuita
Sir Alex bosi kwa sababu ndio bosi wa makocha wote na ninatumaini kwamba
nitakapoenda tena kwenye soka la England atakuwa bado anaifundisha
Manchester United." Jose Mourinho, jana akimwelezea Sir Alex Ferguson wakati akihojiwa na CNN. Jose Mourinho na bosi wa makocha ulimwenguni Sir Alex Ferguson katika picha ya pamoja jijini London
JOSE MOURINHO AMESEMA KUWA FERGUSON NDIO BOSI WA MAKOCHA WOTE
Reviewed by bongohitz1
on
4:20:00 PM
Rating: 5
No comments