Zimepita siku kadhaa toka mtu mzima Bow wow ateuliwe kuwa mtangazaji wa
show ya 106& Park.Sasa huu ndiyo muonekano wake wa kwanza katika
show hiyo ya 106 & Park akiwa anamfanyia interview mtu mzima
Kendrick Lamar kuhusiana na ujio wake mpya wa album inayofahamika kwa jina la
GOOD KID,M.A.A.D CITY.
No comments