Hii ni picha ya bus la Kampuni ya Dar express likiwaka moto leo Kilimanjaro Ajali hii ya moto imetokea siku kadhaa tu baada ya ajali nyingine ya basi la Dar express hapo chini iliyotokea July 24 mwaka huu.
No comments