Sunday, July 8, 2012

WEMA SEPETU VS JACQULINE WOLPER



 Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika uwanja wa taifa, Dar-es-salaam kwenye tamasha la usiku wa matumaini


shosti tupigane za kwenye mabega tu mwayaa si unajua sura zetu tena mauzo na carlolight!
teh teh teh teh

Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla."Hey don't feel on Diamond...Take heart shosti.

No comments:

Post a Comment