TAMKO LA POLISI KUHUSU MAANDAMANO YA MADAKTARI.

.
Baada ya Madaktari kutoa
taarifa kwamba wataandamana, Kamanda wa polisi Kanda maalum ya Dar es
salaam Suleiman Kova amesema “mtu yeyote atakaejaribu iwe ni baraza la
habari la kiislamu au hawa MAT (Madaktari) wasijaribu kufanya hayo
maandamano kwa sababu hatuwezi kuruhusu makosa yatendeke”
Ameamplfy zaidi kwamba “natoa
onyo kali wasiandamane kwa sababu maandamano hayo ni batili hayana
msingi wowote lakini tunaruhusu wakutane wakae kwenye ukumbi waite
waandishi wa habari, kwa kuita waandishi wa habari na kukaa sehemu moja
inatosha kabisa ujumbe wao kufika hilo linaruhusiwa lakini swala la
maandamano halina sababu kwa sababu ujumbe ni ule ule”
No comments:
Post a Comment