Sunday, July 8, 2012

HATIMAYE SAJUKI AONESHA MATUMAINI






AFYA ya staa wa filamu za Kibongo, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ imetengemaa ambapo sasa shavu dodo baada ya kupata matibabu ya kutosha nchini India alikokwenda kutibiwa hivi karibuni, Amani limemshuhudia.
HABARI ZAIDI www.globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment