HIZI NDIO SIKU ALIZOZITOA SHAFFIH DAUDA KWA YANGA.
Baada ya mzee Akilimali wa Yanga kutangaza kwamba mtangazaji wa Sports Extra ya Clouds fm na Sports Bar ya Clouds Tv Shaffih Dauda amekua akiwaudhi kwa kuwaandama pamoja na kuhusika kumtumia Kocha Maximo email na msg kwamba asijiunge na club hiyo kwa sababu ina madeni, Shaffih Dauda amemtaka mzee huyo kuonyesha uthibitisho wa alichokisema na kama hana ushahidi aitishe kikao kingine na waandishi wa habari kuomba msamaha lasivyo atampeleka mahakamani, hayo hapo chini ni sehemu ya maneno aliyoyaandika Shaffih Dauda kwenye blog yake…
. .
. .
Emmanuel Okwi na Shaffih Dauda.
No comments