Monday, June 11, 2012

ANASTAHILI KUJIELEZEA


Dear Tanzanians,
      Ni jambo la kawaida sana kwa nchi kama Tanzania tukiona wale wachache masikini wakitaabika na kusekwa pale ambapo si sawa na hata kunyimwa uhuru wa kusikilizwa eti tu kwa kuwa ana mashtaka flani ambayo kikatiba na sheria hapaswi kujielezea kabisa.Je, hii katiba ni msaafu kiasi ambacho haina mabadiliko ya baadhi ya vitu?Si sawa huu ni ubabe.......Ni wangapi vigogo wa serikalini wametuhumiwa kwa kesi za uhujumu uchumi lakini bado wapo uraiani?Lakini vyombo vya usalama wanaokaa katika mazingira magumu na hatarishi na baadhi ya walala hoi kukandamizwa?Ni watoto wangapi wa vigogo wanaovunja sheria tena dhahiri lakini bado tunao?Je masibu yaliyomfika Lulu yangemfika mtoto maarufu wa kigogo serikalini wa nyadhifa yoyote ile ingekuwaje?Au ndo angepata safari ya ghafla kwenda nje?
     Mimi nadhani Lulu anastahili kuwa huru...kama ni uchunguzi ni uchunguzi gani?na kifo cha marehemu kimefahamika?
NOTE:-IF YOU BLAMED THE NATURE YOU'LL SUFFER THE CONSEQUENCES 

 
Mtuhumiwa mmoja, askari karibuni 15.... In psychology, you kill her effectively. 
Take heart LULU Your about to conquer the root now, in exactly logical means.

No comments:

Post a Comment