Hii ndio kauli ya Diamond Platnumz "Dangote" baada ya kupokelewa na mashabiki wake akitokea Marekani kwenye tuzo za AFRIMMA
Hii ndio kauli ya Diamond Platnumz Dangote abaada ya kupokelewa na mashabiki wake akitokea Marekani kwenye tuzo za AFRIMMA"Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan,na jana ndiyo siku niliyorudi,kiukweli sikutegemea kukutna na nilichokikuta,umati mkubwa wa watu wakliokuwa wamejitokeza kunipokea,kiukweli imenipa faraja sana ,kuona ji kias gani Watanzania wenzangu ,wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki,nawashukuru wote walioacha kazi zao,ama kuvunja ratiba zao,na kuja airport kunipokea,Ahsanteni na ninawapenda daima"
Post Comment
No comments