Recent comments

Breaking News

Exclusive:- Hivi ulisikiagaa kuhusu Tunda Man kupigiwa simu na shetani? Fanya kama unasikiliza hapa stori nzima kuhusu hiyo namba na huyo jini



2ndaaHii stori ilianzia hapa hapa bongohitz1.blogspot.com baada ya Tunda Man kusema kuwa amepigiwa simu na namba asiyoijua na kisha baada ya kuongea nae akaanza kuhisi hali ya utofauti katika mwili wake.
Soudy Brown kaenda mbali zaidi kwa kuipiga ile namba kisha kuwapigia mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwa ajili ya muongozo juu ya hiyo namba.
88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro.
Bonyeza play kusikiliza.

No comments