Video hii inamuonyesha Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake mama Salma Kikwete wakikata mitaa ya Pangani Tanga kuelekea sokoni kununua samaki aina ya ng'onda...nimeipenda hii!
VIDEO: Raisi Kikwete na mkewe wakikata mitaa kuelekea sokoni kununua bidhaa
Reviewed by bongohitz1
on
5:54:00 AM
Rating: 5
No comments