Kitchen Party cha Bi. Susan ndani ya THE MAJESTIC HALL Sinza kwa Remy jana tarehe 01/06/2014
Bi Harusi Mtarajiwa 'Susan' akiingia ukimbini kwa shangwe ndani ya ukumbi wa 'The Majestic Hall' uliopo Sinza kwa Remy
Akitambulishwa na MC kwa wageni waalikwa
Dada wa Bibi Harusi Mtarajiwa
Wanakamati wakifuatilia jambao kwa umakini, kulia ni mwenyekiti wa kamati ya mapambo
Bibi Harusi Mtarajiwa akikata keki, iliyoundwa kwa mfumo wa kibao cha mbuzi
Bi Harusi na dada yake 'Mdogo'
Kitu cha Champaign kikiandaliwa mbele ya Bi Harusi Mtarajiwa
Shangazi zake Bibi Harusi Mtarajiwa Bi Susan
No comments