Angalia behind the scene video ya wachezaji wa Madrid wakirekodi wimbo wao...........
Mapema wiki hii ulitoka wimbo wa #HalaMadrid ulioimbwa na wachezaji wa
Real Madrid. Millardayo.com imefanikiwa kupata video ya behind the scene
wakati wachezaji wa Real Madrid walipokuwa studio, itazame hapo
chini………
No comments