VITU 20 VIPYA TULIVYOJIFUNZA KUTOKA KWENYE Q&A YA JAY Z KUPITIA TWITTER
Baada ya kuachia album yake mpya “Magna Carter Holy Grail”, Jayz aliamua kufanya mdahalo na mashabiki wake kupitia mtandao wa twitter.
Mashabiki wake waliweza kumuuliza maswali tofauti na haya ndio baadhi ya maswali na majibu yake.
1: Oceans ndio nyimbo yake bora kwenye album ya “Magna Carter Holy Grail” na ilirekodiwa miaka miwili iliyopita.
2: He doesn’t believe Christopher Columbus discovered America. “Only Christopher we acknowledge is Wallace,” he raps on “Oceans.”
3: Hapendelei sana kula ceral kama breakfast na siku akila huwa anapenda Cap’n Crunch Berries.
4: Magna Carter Holy Grail inashika nafasi ya nne katika list ya album zake bora, Reasonable Doubt nafasi ya tatu, The Blueprint nafasi ya pili, and The Black Album nafasi ya kwanza.
5: Noutorious B.I.G angekuwa ni mmoja wa wasanii ambaye angeingiza mashairi kwenye album ya “Magna Carter Holy Grail” endapo angekuwa hai.
6: He has begun working on “6 pieces of art” to accompany Magna Carta.
7: Anamkubali sana Miley Cirus, Jay Z anaamini kwamba mwanadada huyo ni mfalme.
8: “Open Letter” will only appear on the vinyl edition of MCHG “handled by Jack White.”
9: Katika nyimbo zote za Britney Spears, Jay Z anaikubali sana nyimbo ya Toxic.
10:Mtoto wake Blue Ivy ni mshabiki wa timu ya New York Giants wakati Jay Z yeye ni mshabiki wa Dallas Cowboys
11: Outside of hip-hop, he is currently listening to James Blake and Gonjasufi.
12: He thinks the Rick Rubin-produced “99 Problems” is one of the greatest songs ever made. “99 Problems maybe top 1 song ever.. Any genre..my opinion not a #factsonly.”
13: “Human Nature” ndio nyimbo anayoikubali sana kushinda nyimbo zote za Michael Jackson
14: Alifurahi sana alivyokuwa anatengeneza nyimbo ya “BBC” ambayo ameshirikiana na Beyonce, Nas,Justin Timberlake, Pharrell, Swizz Beatz, and Timbaland.
15: He plans to release footage from his studio session with Nas. “We had a great time in the studio. I’ll release the footage.”
16: Despite his iconic status, he still feels like he has competition. “YES, but, that works for me,” he said.
17: Alipoulizwa kwa nini ajamshirikisha Kanye West kwenye album ya Magna Carter Holy Grail alijibu kwamba haya Kanye West ajamshirikisha kwenye album yake mpya ya Yeezus.
18: Kama angeweza kurudisha mda nyuma, basi angeomba apate nafasi ya kuenjoy na Picasso.
19: Best business advice he’s received: “Don’t listen to anyone, everybody is scared.”
20: Jay-Z bought back the rights to Roc-A-Fella. “you know I had to get that back! #factsonly.”
No comments