PAPISS CISSE KUZIPOTEZEA £40,000 ILI KUTII MASHARTI YA DINI YA KISLAMU

Kweli pesa sio kila kitu, Papiss Cisse ambaye ni mchezaji wa NewCastle united atalazimika kuondoka kwenye timu hiyo kwasababu Newcastle imepata mzamini mpya “Wonga” anayefanya shughuli za mikopo.
Mshambuliaji huyo kutoka Senegal anayelipwa £40,000 kwa wiki, aligoma kuvaa jezi yenye jina la kampuni ya Wonga kwa kuhofia kuvunja masharti ya dini ya kislamu.
Sheria ya kislamu inasema “Waislamu hawatakiwi kuchukua riba” na pia Interest is not paid on Islamic bank accounts
Cisse, who did wear the Northern Rock and Virgin Money logos, made club chiefs aware he was uncomfortable wearing the new Wonga shirts when the controversial deal was announced at the end of last season, although other Muslim players at the club, including Hatem Ben Arfa, have not taken his stance.
Post Comment
No comments