Imepita miezi michache tu tangu ajifungue mtoto wake wa kiume ambaye baba yake ni Gerald Pique mchezaji wa Barcelona, hivi karibuni Shakira amepigwa picha akiwa anajiachia na Gerald Pique kwenye fukwe za Hawaii.
HIZO NDIO PICHA TATU ZA MWANAMUZIKI SHAKIRA BAADA YA KUJIFUNGUA MIEZI MICHACHE ILIYOPITA
Reviewed by bongohitz1
on
5:13:00 PM
Rating: 5
No comments