Hili ndio kanisa lililojengwa katikati ya maji..
Vuta picha pale ambapo kila Waumini wanapokwenda kwenye misa wanapanda boti, vuta picha hili kanisa pembeni tu ya majengo yake kuna maji…. hakuna hata ardhi ya kuonyesha kwamba limejengwa juu yake… vuta picha pale upo katikati ya ibada alafu unakumbuka uko kwenye jengo lililo juu ya maji…..
Unaambiwa kanisa hili liko San Giorgio Maggiore nchini Italia kwenye mji wa Venice.
Hili ndio kanisa lililojengwa katikati ya maji..
Reviewed by bongohitz1
on
5:03:00 PM
Rating: 5

No comments