HATIMAYE MANYIKA PETER GOLI KIPA WA ZAMANI WA TAIFA STARS, MTIBWA NA YANGA "TANZANIA ONE" AMEINGIA KWENYE TASNIA YA FILAMU
Manyika Peter mchezaji mkongwe wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar na Yanga ambaye pia alipata heshima ya kuwafua magoli kipa wa timu ya taifa ya SERENGETI BOYS ameingia rasmi katika tasnia ya Filamu.
No comments