CENTRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI (ACID)

Mmiliki wa maduka ya home shopping center anayejulikana kama “Said Mohamed Saad” aliyemwagiwa tindikali(acid) wiki mbili zilizopita alikimbizwa hospitalini nchini South Afrika kwa matibabu.
Wiki iliyopita majira ya saa moja jioni, mfanyabiashara huyo alimwagiwa tindikali na mtu mmoja ambaye hakufahamika na mara baada ya kutenda tukio hilo, mhusika alikimbia huku mlinzi wa eneo hilo akijaribu kumkimbiza pasipo mafanikio baada ya kuteleza na kuanguka.
No comments