Recent comments

Breaking News

“BLAME IT ON THE MONEY” IMESHAMALIZIKA.

Baada ya kupata mafanikio makubwa nchini Nigeria, D’Banj amezidi kuonyesha kuwa anauwezo mkubwa kwenye music industry na hivi karibuni alizindua album yake inayoitwa DKM huko Lagos Nigeria.
D’Banj ameweza kukamilisha utengenezaji wa kichupa cha “blame it on the money” aliyomshirikisha Snoop Lion na Big Sean. Currently D’Banj alisaini mkataba na Kanye West wa kujiunga na G.O.O.D MUSIC.
The video is set to be released in a matter of weeks with big expectations it would blaze hot in the American market following the inputs of international bestselling artist Snoop Dog now Snoop Lion and G.O.O.D Music act; Big Sean.

No comments