Rick ROSS AMVALISHA PETE DEMU WAKE

Mnene Rick Ross, rapa na Boss wa lebo ya MMG, safari hii ameibuka tena kwenye headlines kutokana na hatua zake kuelekea kuuaga ukapela, hasa baada ya kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake anayefahamika kwa jina Shateria L. Moragne-el.
Story kubwa zaidi kutoka katika tukio hili, ni pete ya uchumba ambayo
Ross amemvalicha bibie Shateria L. Moragne-el kutokana na habari za
kiuchunguzi kugudua kuwa, thamani ya pete hii ni dola laki 5 ambayo ni
zaidi ya shilingi milioni 800 za kitanzania.
Taarifa zinasema kuwa, Ross na mpenzi wake huyu wamekuwa pamoja kwa
miaka mitano sasa licha ya misukosuko ya hapa na pale katika mahusiano
yao, kitu ambacho kimewashawishi sasa kuchukua hatua ya kuhalalisha
mambo yao.
No comments