LUCY TOMEKA NDIYE MISS DAR INDIAN OCEAN 2013-2014

Lucy Tomeka ndiye a aliyechukua taji la miss dar indian ocean 2013 kati ya washiriki 11.
Mashindano hayo ya kumsaka miss huyo yalifanya siku ya jana katika viwanja vya makumbusho ya taifa opposite na chuo cha IFM.

Bila kusahau burudani ilitolewa kwa wasanii mbalimbali kama Vanessa Mdee,Deddy,Gosby,M Rap,Mabeste na wengineo kibao
No comments