Katika pitapita instagram kuna
picha ya msanii Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea
watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea.
JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini
KATIKA INSTAGRAM LEO NIMEKUTANA NA KIMBWANGA HIKI CHA MASHABIKI NA DIAMOND PLATINUM
Reviewed by bongohitz1
on
1:39:00 PM
Rating: 5
No comments