WYRE NA JUA KALI KUFYATUA KICHUPA KIPYA HIVI KARIBUNI

Wakaree wa nchini Kenya ambao wamedumu kwa muda mrefu ndani ya game ya muziki Afrika mashariki akiwemo mfalme wa miondoko ya dancehall Wyre na mfalme wa genge Jua Cali hatimaye wafyatua colabo ya kichupa chao kipya kiitwacho ‘Khadija’.
Wawili hao ambao hivi karibuni walitamka kuwa wanatarajia kufanya colabo ya ngoma mpya wameweza kutimiza ahadi hiyo kwa mashabiki kwa kutoa kichupa kipya hicho ambacho kina ladha ya miondoko ya ragga.
No comments