Recent comments

Breaking News

VIDEO MPYA YA MADEE "NANI KAMWAGA POMBE YANGU"

Pombe yangu ni single pekee ambayo Madee anakiri kwamba imevunja rekodi, hakuna single yake imewahi kumpa mafanikio kama hii, ina miezi miwili toka itoke lakini mpaka sasa imempa show 13, video inaanza kuonekana kuanzia kwenye sekunde ya 30.

No comments