"NALALIA PESA NACHAMBIA PESA" HILI NI DONGO LA MANGE KIMAMBI KWENDA KWA (BOW DOWN BITCHES)
Mjasiriamali na blogger maarufu nchini, Mange Kimambi amegeuka Beyonce na kuwaambia wasichana wanaohate mafanikio yake ‘Bowdown bit**es I got lots of money.’
Kupitia blog yake yenye wasomaji wengi hasa wanawake, Mange ambaye kwa muda mrefu anaishi nje ya nchi na kurejea hivi karibuni akiuza aina ya nguo yaitwayo Bongolicious, amepost picha hizi na kuandika:
Finally, nimemaliza........... mahesabu ya leo…..Ngoja niingie kulala sasa… Arusha mmetishaaaaaa, nimewapendajeeeeeeeeee. “BOW DOWN BITCHES”…SHIKAMOO DADA MANGE WILL DO…….LOL. Ps: Nimewazidishiaje hasira????? Hehehehehehe.

And rumor has it that this boss lady is beefing with Sintah.
Katika Moja ya comments zinasema;
“Hahaha ki bibi sintah kimenunaje sasa hahah kusema kweli sintah anajishaua tena sana kama mdogo wake sabra yan wana midomo ya kinafki sana na hawana kitu kaz kujiona matawi na wakat no money in their pocket..
khaaa hiyo mipesa yeye anaipata kwa mwaka..mxxiii..na ndo maana aliolewa Uganda na pia ana mtoto tena mkubwa kamuacha hukohuko..
hv hamjiulizi kwa nin kila xaa yuko huko…anajishaua kwa kipi sasa hicho ki gar chake kimoja hhahha watu wana magar wana change kila siku…kha eti ana kaa sinza ptyuuuu,” ameandika msomaji mmoja.

Hata hivyo si kila mmoja aliyekifurajia kitendo hicho.
“I love you so much, I always feel like I am your big sister. Please stop this, this is not classy at all. You are not ignoring them, just leave it alone and do you. I beggo Please. Please let go and let’s just talk about bongolious. Showing off the money and matusi is so unnecessary my sister. Please let’s focus on becoming billionaires,”ameandika mwingine.
Leo Natoa somo bure kuhusu Mali za ndagu,
ReplyDeleteUnaweza kujiuliza mali za NDAGU ni nini?
Dokta Mdiro call/whatsup +255 742162843.
Ndagu ni dawa ambazo hutengenezwa kwa mkusanyiko wa taratibu fulani ambazo hufanyika kwa pamoja ikilenga jambo fulani.
Hasa malengo makuu ya ndagu ni
1.kutengeneza mali
2.kulinda Mali.
Ndagu hizi hutumia nguvu ya wazee(Mizimu)
Sasa yapo nikupe maana ya mizimu ni nini?
MIZIMU NI NINI?
Mizimu ni roho za wazee wetu (wa ukoo) toka katika pande zote mbili Baba na Mama ambao ni babu na bibi toka kwa baba na babu na bibi toka kwa Mama,roho hizi huja na kuwa na sisi pale tunapozihitaji au zinapotuhitaji....!
kwanini Mizimu huja kwetu au kwaini tunaiita?
-UDUGU, kumbuka roho hizi ni zile za waze wetu (ancestors) ambao walizaa baba na mama zetu hivyoo kuja au kuwaita hutokana na Udugu
ULINZI, roho zote zisizo na mwili huona yasiyoonekana kama Uchawi na magonjwa hivyoo Wazee wetu huja na tunawaita watuambie haya tusiyoyaona.
MILA, utamaduni na desturi zetu hututaka tufanye mambo yaliyo katika mpangilio ulio sahihi kama kuwapa wazee heshima na kusikiliza yale wanayotuambia.
Wazee hawa hutupatia mali kama zawadi lakini kwa masharti fulani maalumu hii ni tofauti na majini.
Aina za ndagu zipo sita kunazile ambazo unaweza kufanya sehemu ulipo na zile ambazo unaweza kufanya kwa kunifuata yaani tukiwa pamoja hii ni kutokana na sababu mbalimbali kama wengine kutokuwa na ghalama za safari hivyo unaweza kufanya sehemu ulipo na jambo lako kukamilika.
Ndagu ambazo ni lazima tuwe pamoja ni 4.
1.Kutoa kitu.
2.Mimba.
3.Utasa.
4.Ndugu 3.
Ndagu ambazo unaweza kufanya sehemu ulipo ni 2.
1. Ulemavu.
2.Wanyama.
Angalizo!!! Kwa msaada piga simu husijaribu jambo bila maelekezo ya dhati.
Karibu sana na uwe na nia ya dhati.
DOKTA MDIRO Namba call/whatsup +255 742162843