MR BLUE AMFUATA NAJMA & PLATNUMZ UINGEREZA

Taarifa za uhakika kutoka news room reveals kwamba msanii wa kizazi kipya Tanzania Khery Sameer Rajab aka Mr Blue is expecting a flight to London anytime today headed to tilalila music Tour ambapo atashea stage moja na ex-chik wake, yani Najma.
No one knows kinachoweza kutokea iwapo Platnumz ambae pia yupo chini
uingereza, Baisa na Najma watajipata kwenye location moja aidha wakila
bata since the two dudes wamewahi kutoka na same chik.
To flash you back ni kwamba 2 years ago Mr. Blue alijipata kwenye
danger zone kimahusiano na Girl wake wa kitambo ambae kwasasa amekuwa
official wyfee wake I mean Wahyda kutokana na Baisa kuthibitika kucheat
na Najma Dattani.
If that is the case maybe that’s why Babylon bizy Baisa aliamua
ku-keep distance na Najma for peace, though baadae headlines ziliendelea
kusomeka juu ya cute huyo hasa pale alipohamia temporary kwenye penzi la
Platnumz.
Recently hapa Bongo inafahamika wazi kuwa Platnumz anatoka na Penny mtoto mkali ambae hakuna daubt kuwa ame fall in love na mchizi to the max kiasi kwamba kila raia anaelewa kuhusu mahusiano yao.
To update you ni kwamba just on previous days kuli happen bonge la
gossip hadi kuwatoa mood raia wenye akili zao wakati ex wa Nassib talk
about Wema Sepetu alipo sikika redioni akibebmbeleza penzi la Platnumz
kwa njia ya simu ikidaiwa kuwa alirekodiwa bila kujua.
So far to-date Wema Sepetu hajawahi kukubali kuwa bado anampenda
Platnumz tena though amewahi kukiri kuwa hamchukii which is good
kibinadamu, but lets’consider kuwa ukweli anaujua yeye mwenyewe.
By the way Baisa na Wahyda currently penzi lao ni zito na they got a
kid last year anaitwa Herry jina kama la mtoto wa Dogo Hamidu I mean
Dogo Hamidu aka Nyandu Tozi ambae pia ana mtoto wa kiume aliembatiza
jina la Herry kama kushow love kwa mchizi wake Mr Blue.
The pair survived despite the hard time iliyomkuta Blue hata wakati
alipo mpoteza mama yake mzazi Bi. Halima ambae alizikwa pande za
Bagamoyo mwaka jana wakati msanii huyo alipokuwa kwenye Tamasha la
Zantel Epiq Nation huko Zanzibar.
No comments