Recent comments

Breaking News

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA DAR-ES-SALAAM LEO TAREHE 01 APRIL

Ukiritimba wa serikalini ndio unachochea miundombinu mibovu katika jamii, hii ni madhara ya mvua iliyonyesha kwa nusu saa, ambapo imepelekea maji kuingia ndani ya maduka ya watu huko Mwenge na hatimaye hata kuzuia shughuli nyingine za ujenzi wa taifa kusimama.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments