Recent comments

Breaking News

WAKENYA WAZINDUA KIPINDI CHA NDOA, KINACHOONESHA MAMBO YA WANANDOA HADHARANI

Maelezo yaliyopatikana yanaonyesha kwamba hiki ni kipindi cha Tv moja nchini Kenya ambapo lengo lake ni kufundisha wanandoa mambo ya ndoa, kama vile ilivyo kwa vipindi vya redio wakati wa usiku lakini hiki ni cha Tv na kinaingia ndani sana kwenye kuweka mambo wazi… hakikisha umri wako ni kuanzia miaka 21 kutazama.

No comments