T-MODELING AGENCY YAPATA ZALI SOUTH AFRICA
Agency changa inayokuja kwa kasi kabisa ndani na nje ya nchi inayomiliki models 12 wanaofanya Photo-shooting na Fashion inayojulikana kama, T-MODELING AGENCY imeramba karata dume toka mwezi uliopita kwa kumpeleka mmoja wa mwanamitindo wake katika harakati za kuwatrain washiriki watakaoshindana katika mashindano ya umodo jijini Arusha, pia ikiwemo na kupata dili zingine tatu ambazo zitatangazwa baada ya masuala ya mkataba kukamilika.

No comments