Recent comments

Breaking News

ENGAGED PARTY "YOU MADE IT HAPPY" WE DO LOVE YOU!


Hapa bi shosti akifuatilia jambo kwa ukaribu zaidi, akiwa na Aunty yake pembeni wamependezaje? Hapana chezea.....

Hapa wakijaribu kutafakari kwa furaha zaidi 

Hii ndio pete ya uchumba aliyoovishwa na mumewe mtarajiwa Mr. Phanuel

Wakipata chakula nyumbani kwao it was a nice party

Hapa akisistiza pete yake ya uchumba kwa raia
Picha na matukio mengine tutawekea muda si mfupi fuatilia kwa ukaribu blog yetu ya www.mkubwathegreat.blogspot.com

No comments