CARDINAL JORGE MARIO BERGOGLIO AMETANGAZWA RASMI KUWA POPE KWA DHEHEBU LA ROMAN CATHOLIC (PICHA SITA ZA MATUKIO YA KUCHAGULIWA KWA POPE)

Cardinal Jorge Mario Bergoglio
Cardinal Jorge Mario Bergoglio mwenye umri wa miaka 76, ametangazwa rasmi jijini Vatican Italy kuwa Pope Francis I. Zoezi hili lilichukuwa nafasi siku ya Jumanne, ambapo makadinali wapatao 115 (Europe 60, Afrika 33 Amerika 11 na wengine 11) walijifungia ndani katika maombezi ya kumchagua kiongozi wa dini ya Katoliki yenye wafuasi/waumini takribani Billion 1.4 dunia nzima. Cardinal Jorge Mario Bergoglio ndio papa wa kwanza kuchaguliwa toka nchini Argentina toka kuchaguliwa kwa mapapa 266 katika miaka ya nyuma.,
Vatican City
Tukio hili limechukua nafasi baada ya kujiuzulu kwa Pope Benedict VI kutokana na hali yake ya kiafya kutokuwa nzuri na akiwa na umri wa miaka 86.
Ikumbukwe kuwa Pope Francis I ni Pope wa 266.
Kadinnali akisoma kitabu kabla ya Pope kuoneshwa rasmi

Hapa ilikuwa ndo ishara ya kuchaguliwa kwa pope

Huyu ni Pope Benedict VI akiwaaga waumini wake masaa 22 kabla ya kuchaguliwa kwa Pope
Pope Francis I akionekana kwa mara ya kwanza, neno lake la kwanza baada ya salaam aliomba waumini wote wasali kwa pamoja kumuombea Pope benedict wa VI
Kila la kheri ndugu zangu Roman Catholic
No comments